Exodus 30:19-21

19 aHaruni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia. 20 bWakati wowote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili kwamba wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, 21 cwatanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Haruni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.”

Mafuta Ya Upako

Copyright information for SwhKC